JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Pinda apotoshwa, Takukuru yapigwa chenga Geita

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alipewa taarifa zinazoaminika kuwa alidanganywa na Afisa Kilimo wa Wilaya ya Geita, kuhusu utekelezaji wa mradi wa umwagiliaji katika vijiji viwili vya Nyamboge na Nzela wilayani hapa.

KONA YA AFYA

Vidonda vya tumbo na hatari zake (11)

Katika sehemu ya kumi, Dk. Khamis Zephania alifafanua maumivu ya vidonda vya tumbo, tofauti ya vidonda hivyo na vile vya duodeni, sababu za kutosagika kwa chakula na mtu kupungua uzito. Sasa endeleaโ€ฆ

BARUA ZA WASOMAJi

Polisi Biharamulo wanatumaliza

Kwa kawaida tunajua kuwa mtu akiwa mikononi mwa askari polisi atakuwa yuko kwenye usalama, lakini huku wilayani Biharamulo, Kagera hilo halipo.

BARUA ZA WASOMAJi

Polisi Biharamulo wanatumaliza

Kwa kawaida tunajua kuwa mtu akiwa mikononi mwa askari polisi atakuwa yuko kwenye usalama, lakini huku wilayani Biharamulo, Kagera hilo halipo.

Extra Bongo yajivunia mafanikio

Bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ya jijini Dar es Salaam, imesema kuwa inajivunia mafanikio ambayo imekuwa ikiyapata tangu kuanzishwa kwake.

Vilivyobakia ardhi na watu

Siku zilizopita katika Safu hii, niliwahi kuzungumzia Azimio la Arusha, dira iliyoaminika ingewapeleka na kuwafikisha Watanzania kwenye Ujamaa kamili chini ya Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea.