Latest Posts
Ngono: Diwani CCM matatani kugeuza mwanafunzi kimada
Diwani wa Kata ya Nyugwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Donald Kabosolo, anafanya kazi ya ziada kuzima tuhuma dhidi yake juu ya uhusiano wa kingono na mwanafunzi wa sekondari ya kata hiyo iliyopo katika Wilaya ya Nyang’hwale, mkoani Geita.
Kova anawaogopa bodaboda, ataweza uchaguzi?
Wiki iliyopita nimezungumzia hali ya kisiasa katika Jimbo la Lindi Mjini. Nimeeleza katika usuli kuwa hilo la Mama Salma Kikwete kudaiwa kulitaka jimbo hilo ni moja kati ya mambo niliyokutana nayo katika safari ndefu ya kilomita 4,500 niliyozunguka nchi nzima.
Tumerudi mtandaoni, samahani kwa kupotea mwezi mzima
Wapendwa wasomaji wetu salaam, Kwa muda wa mwezi mmoja sasa tangu Januari 29, 2015 mtandao wetu haukuwa hewani kutokana na ujambazi wa mtandaoni (hacking). Hatujui ni nani, ila mtandao wetu ulitekwa na ikawa hatuwezi kuingia kuweka habari au vinginevyo. Kwa…
Salamu za kiuchumi mwaka 2015
Ndugu wasomaji wa safu hii na gazeti hili, nawasalimu kwa salamu za upendo. Hongera kwa kuwezeshwa na Mungu kuuona mwaka huu mpya wa 2015. Pasipo kujali hali zenu katika maeneo yote; ninaamini lipo tumaini kwa mwaka huu.
Tanzania nchi kubwa, inavuka Kibaha
Kwa Watanzania wengi Tanzania ni nchi kubwa sana. Kwa Kaskazini inaanzia Ziwa Nyanza (Ziwa Victoria) ikipakana na Kenya na Uganda, na kushuka Kusini hadi Mto Ruvuma inapopakana na nchi ya Msumbiji.
Waraka kwa Wabunge kuhusu Escrow (2)
Waheshimiwa Wabunge,
Hii ni sehemu ya pili ya masimulizi juu ya ukweli wa ufisadi wa akaunti ya Tegeta Escrow.