JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rwanda: Kituo cha tiba ya bangi Rwanda mbioni kukamilika

Mradi wa Rwanda wa zao la bangi kwa ajili ya matibabu ya thamani ya Juu (HVTC) unapiga hatua kubwa, huku mradi wa miundombinu ya matibabu ya zao hilo ukiwa umekamilika kwa asilimia 83, kulingana na Bodi ya Maendeleo ya Rwanda…

Haya ndio majina maarufu zaidi waliyopewa watoto wa 2024

Unaweza kutambua majina bora 20 ya watoto maarufu zaidi ya 2024 ?… huenda karibu yote umewahi kuyasikia Liam na Olivia walikuwa majina maarufu zaidi ya watoto mnamo 2024, nafasi ambayo majina yote yameshikilia tangu 2019, kulingana na taasisi ya Utawala…

Muhimbili yakabiliwa na upungufu wa damu kwa asilimia 60

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam imeeleza kuwa ina upungufu wa damu kwa asilimia 60 kutokana na kiwango kidogo cha upatikanaji wa damu ikilinganishwa na uhitaji wa damu kwa siku….

Wakandarasi wazembe kuchukuliwa hatua

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeiagiza Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuwachukulia hatua makandarasi wazembe wanaosababisha hasara na athari kwa serikali na wananchi kwa kutokamilisha miradi kwa wakati. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa agizo hilo leo…

Udanganyifu soko la bima nchini wapatiwa tiba

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Wadau kutoka sekta ya bima nchini na nje ya nchi wameungana pamoja kutafakari changamoto na mambo mbalimbali ya kisekta ili kuanzisha msingi thabiti wa kuondokana na changamoto za udanganyifu katika soko la bima. Akizungumza kwenye…

Harmonize: Inahuzunisha sana, nimemuachia Mungu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tangu kuibuka kwa sakata la msanii Ibraah kutaka kujiondoa katika lebo ya Konde Gang, kwa mara ya kwanza Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Lebo hiyo, Rajab Abdul ‘Harmonize’ amerekodi video fupi akieleza vitu vingi…