Latest Posts
Funga ya Ramadhani, hukumu, fadhila, adabu zake (Hitimisho)
Sheikh Dk. Ibrahim Ghulaam, katika sehemu ya tatu ya makala
haya alielezea kwa kina kuhusu yasiyofunguza na adabu za funga. Sasa fuatana naye katika sehemu hii ya mwisho…
Fadhila za funga
Zimepokewa hadithi nyingi zinazoelezea fadhila za funga ya Ramadhani, miongoni mwa hizo ni zifuatazo:
Kuna wamachinga wanaovuna mamilioni, walipe kodi stahiki
Hakuna binadamu anayependa kulipa kodi. Lakini Serikali haiwezi kujiendesha bila kodi, hivyo ni wajibu wa kila mtu mwenye sifa za kulipa kodi, kufanya hivyo.
Katiba Mpya iakisi uzalendo (Hitimisho)
Sehemu iliyopita, mwandishi alinukuu ibara ile ya kwanza ya
Mkataba wa Muungano na kusema mtu akiisoma atajua ilikuwa na viashiria vya undugu na umoja wetu wa asili kati ya watu wa nchi hizi mbili – Tanganyika na Zanzibar. Hii ni sehemu ya mwisho ya mfululizo wa makala ya Katiba Mpya iakisi uzalendo. Endelea
Maneno mazito namna hii na ya kizalendo kutoka kwa watu wa Zanzibar, leo mtu aje aseme mbona hatukushauriwa: Oh! mbona hatukuulizwa hivi. Wanaofyatuka kusema hivi walikuwa na umri gani Aprili 24, 1964? Pengine wala hawakuwa wameingia ulimwenguni. Leo waje na stori za watu wa Zanzibar eti waulizwe wanautaka Muungano au hawautaki ndipo Katiba yetu iandikwe ni sahihi kweli wazee wenzangu?
MISITU & MAZINGIRA
Misitu inavyokinufaisha Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ (1)
Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ni mojawapo za wilaya chache Tanzania Bara zilizobahatika kuwa na misitu ya asili ya kutosha ikilinganishwa na maeneo mengine nchini. Pamoja na kuwa na rsilimali misitu ya kutosha yenye aina za miti ya thamani sana mfano, mipingo (Dulbergia melanoxylon), Kilwa ni kati ya wilaya maskini nchini.
KONA YA AFYA
Vidonda vya tumbo na hatari zake (7)
Kuchelewa sana kula: Kuna maelekezo mengi ya wataalamu juu ya muda mzuri wa kula. Kuchelewa sana kula huweza kuleta tatizo la kiafya ikiwa ni pamoja na vidonda vya tumbo kama mtu atakuwa tayari ana mwelekeo wa kupata vidonda. Vile vile kula wakati husikii njaa si jambo zuri kwa afya. Kula ukiwa huna njaa (au umeshiba) hudhoofisha utendaji kazi wa mifumo inayohusika na usagaji chakula.
Mpunga, mahindi, miwa kuikomboa Tanzania
Leo nataka kujikita katika suala la Majadiliano ya Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote Smart Partnership Dialogue, ambayo ni dhana ya kiubunifu na msingi wake ni kanuni ya ‘Stawi Jirani Yangu kwa Manufaa Yetu Sote’.
- Katimba ataka watanzania wenye changamoto za mirathi kutumia huduma za RITA
- Serikali kujenga mtambo wa kuchenjua dhahabu Mwakitolyo Shinyanga
- ‘Rushwa janga kubwa linaloharibu mfumo wa utoaji haki’
- Mambo: Demokrasia haijengwi kwa mashinikizo, vitisho
- DC Mpogolo: Sekondari Kitunda itakamilika kabla ya shule kufunguliwa
Habari mpya
- Katimba ataka watanzania wenye changamoto za mirathi kutumia huduma za RITA
- Serikali kujenga mtambo wa kuchenjua dhahabu Mwakitolyo Shinyanga
- ‘Rushwa janga kubwa linaloharibu mfumo wa utoaji haki’
- Mambo: Demokrasia haijengwi kwa mashinikizo, vitisho
- DC Mpogolo: Sekondari Kitunda itakamilika kabla ya shule kufunguliwa
- Mchengerwa : Tanzania hatutaki kuwa soko duni la dawa
- Mndolwa akagua bwawa la ujenzi Mkomanzi, ujenzi wafikia asilimia 85
- Meya Kibaha KIBAHA aitaka DAWASA Kibaha kuacha kigugumizi, utatuzi kero ya maji Viziwaziwa
- EWURA, TRA kuimarisha ushirikiano
- DC Mpogolo: Ilala wanafanyakazi kwa umoja na mshikamano
- Waziri Kombo awasilisha ujumbe maalum wa Rais Dk Samia kwa Sultan wa Oman
- Serikali kuanzisha jukwaa la kidigitali kwa vijana
- Serikali yasisitiza usalama ,mapato mpakani Mutukula
- Uongozi wa APRM wakutana na viongozi wa vyuo vikuu
- 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗱𝗵𝗮𝗿𝘂𝗿𝗮 𝘄𝗮 𝗠𝗮𝘄𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗜𝗖𝗚𝗟𝗥 – 𝗣𝗦𝗖 𝗙𝗿𝗮𝗺𝗲𝘄𝗼𝗿𝗸 𝘄𝗮𝗵𝗶𝗺𝗶𝘇𝗮 𝗷𝗶𝘁𝗶𝗵𝗮𝗱𝗮 𝘇𝗮 𝗽𝗮𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘇𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶 𝘇𝗮 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮