Latest Posts
Mheshimiwa Sitta acha kututania!
TMF yatoa ruzuku kwa vyombo vya habari 16
Mfuko wa vyombo vya habari nchini (TMF), kwa mara nyingine, umetoa ruzuku ya Sh. bilion 1.7 kwa vyombo vya habari 16.
Posho EAC kufuru
*Kila kikao mbunge analipwa Sh laki 9
Posho ya Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) ni Sh. 940,000 kwa siku. Malipo hayo ni kwa kila mbunge hata kama hakudhuria vikao vya Bunge.
Kutokana na utoro wa wabunge ambao umefikia kiwango cha kukwamisha vikao, juhudi za chini kwa chini zimeanza kufanywa na baadhi ya wabunge ili kubadili kanuni.
Mmoja wa wabunge hao ameiambia JAMHURI kuwa juhudi hizo ni pamoja na kuhakikisha kuwa mbunge ambaye hahudhurii kikao, anakosa posho.
ISIL yazidi kuitesa Marekani, Waarabu nao waingilia kati
WAPIGANAJI wa kundi la Taifa la Kiislamu la Iraq na Levant (ISIL), wanazidi kuwatesa Wamarekani, kiasi kwamba hata Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA), limekiri kwamba mapambano dhidi ya waislamu hao ni magumu.
Paroko RC aishiwa uvumilivu, awacharaza viboko Wasabato
PAROKO wa Parokia ya Urumi, iliyoko Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Padri Peter Twamba, amewajia juu waamini wa Kanisa la Waadivetisti Wasabato, waliotuhumiwa kukashifu imani ya Kanisa Katoliki (RC).
Tukio hilo lilitokea kanisani hapo, Jumapili ya 23 ya mwaka ‘A’ (kijani) ya Septemba 7, mwaka huu saa 3 asubuhi mara baada ya misa ya asubuhi kanisani hapo.
Nyalandu aanza kulipa ndege aliyofadhiliwa
Mara baada ya Balozi Khamis Kagasheki kujiuzulu kutokana na shinikizo la wabunge kadhaa, baada ya taarifa ya James Lembeli juu ya Operesheni Tokomeza kuwasilishwa bungeni Novemba, mwaka jana; Lazaro Nyalandu, wakati huo akiwa ni Naibu Waziri katika Wizara ya Maliasili na Utalii, alisafiri sana huku na kule nchini.
- Mkutano wa waandishi wa habari kuhusu ziara za kikazi alizofanya Rais Dkt. Samia
- Simanjiro yapitisha makisio ya bilioni 45/- ya mpango wa bajeti 2026/2027
- Uchumi wa buluu uimarishe ushirikiano Tanzania Bara, Zanzibar
- Dk Possi: Viongozi ni taswira ya taasisi na Serikali kwa jamii
- IPI yawateua wabunge 320 kuwaletea maendeleo wananchi
Habari mpya
- Mkutano wa waandishi wa habari kuhusu ziara za kikazi alizofanya Rais Dkt. Samia
- Simanjiro yapitisha makisio ya bilioni 45/- ya mpango wa bajeti 2026/2027
- Uchumi wa buluu uimarishe ushirikiano Tanzania Bara, Zanzibar
- Dk Possi: Viongozi ni taswira ya taasisi na Serikali kwa jamii
- IPI yawateua wabunge 320 kuwaletea maendeleo wananchi
- Naibu Waziri aipongeza CBE kwa machapisho 148 ya kitaaluma
- Waziri Mkuu akagua mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta
- Kocha Gamondi rasmi kuinoa Stars
- Daraja la mto Pangani ni kichocheo cha uchumi – Dk Mwigulu
- Waziri Mkuu aridhishwa ujenzi daraja la Pangani
- JAB yajipanga kuendelea kutoa mafunzo kwa waandishi, wamiliki wa vyombo vya habari
- Waziri Mkuu Dk Mwigulu atembelea ofisi za CCM Tanga
- Simanjiro yapitisha bilioni 45/- mpango wa bajeti 2026/2027
- RITA yatoa mafunzo ya usimamizi wa mirathi, utatuzi wa migogoro kwa viongozi, wazee wa kimila
- TRC yaokoa bilioni 12.9 kila mwaka, Bunge lapongeza