JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mfanyabiashara arejesha mil 6.2/- ambazo hakuwasilisha TRA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya MAHAKAMA ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai ndani ya miezi 6 baada ya Kutiwa hatiani kwa Makosa ya Kutokulipa Kodi Kinyume na…

Mamia wafurika Makunduchi Zanzibar kusikiliza sera za Dk Samia

Mamia ya wakazi wa Zanzibar wamefurika kwa wingi katika eneo la Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja Kwa ajili ya mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chama Chama Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan. Wananchi wameanza kufika kwenye viwanja hivyo saa…

Makusanyo ya kodi Dodoma yafikia bilioni 204, wafanyabiashara wapongeza uongozi wa Rais Samia

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania(JWT) Mkoa wa Dodoma imepongeza jitihada za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na uongozi wake kwa kazi nzuri katika kuhakikisha nchi inakua kwa utulivu na amani hali inayorahisisha biashara na uwekezaji kuendelea kufanyika bila…

Israel yaanza operesheni ya kudhibiti Gaza City

JESHI la Israel limeanzisha mashambulizi yake ya ardhini yaliyokuwa yakisubiriwa katika Jiji la Gaza, baada ya mashambulizi makubwa ya angani usiku wa kuamkia leo katika mitaa kadhaa ya jiji hilo. Msemaji wa jeshi hilo amesema kufuatia maagizo ya uongozi wa…

Trump aidhinisha msaada wa silaha wa Ukraine

Vifurushi vya kwanza vya msaada wa silaha za Marekani kwa utawala wa Trump kwa Ukraine vimeidhinishwa na vinaweza kusafirishwa hivi karibuni wakati Washington inaanza tena kutuma silaha Kyiv, Reuters inaripoti. Wakati huu hatua hiyo inafanyika chini ya makubaliano mapya ya…