JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania, Jamhuri ya Czech zasaini mkataba wa kuondoa utozaji kodi ya mapato mara mbili na kuzuia ukwepaji wa kodi

Na. Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa…

TAMISA kufanya kongamano Mei 16, mwaka huu

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kwanza lililoandaliwa na Taasisi ya Wasambazaji wa sekta ya Madini Tanzania (TAMISA) litakalofanyika Mei 16, mwaka huu jijini Dar es Salaam….

HESLB ilivyoguswa na Bajeti ya Wizara ya Elimu 2025/2026

Na: Dk. Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Tanga Mei 12, 2025, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, aliwasilisha Bajeti ya Wizara yake ambapo aliomba kuidhinishiwa shilingi Trilioni 2.4, huku shilingi Trilioni 1.74 zikiwa ni kwa ajili ya utekelezaji wa…