JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA 7

Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha Maendeleo ni kazi mwalimu alikuwa anazungumzia kuhusiana na sera ya Kuanzisha vijiji vya ujamaa na namna ya kuzingatia vipaumbele vya msingi katika kuwaletea maendeleo wananchi. Sehemu inayofuata ni mwendelezo wa pale tulipo ishia wiki…

HUJUMA ZIEPUKWE KAMPENI ZA KINONDONI, SIHA

Moja ya kauli za Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kutengua ushindi wake wa awali Agosti mwaka jana, aliwahimiza Wakenya kuwa wamoja. Rais Kenyatta akasema raia wa taifa hilo lililokabiliwa na machafuko ya baada ya…

ONGEZEKO LA UFAULU DARASA LA SABA LABEBA WASIOJUA KUSOMA, KUANDIKA

Na Alex Kazenga MVOMERO Wakati matokeo ya darasa la saba kwa mwaka jana nchini yakionesha ufaulu kuongezeka kwa asilimia 72.76 ikilinganishwa na 70.36 ya mwaka 2016, kubainika kwa waliofaulu bila kujua kusoma wala kuandika. Uwepo wa hali hiyo, ya watoto…

MAWAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO WA TANZANIA NA RWANDA WAKUTANA KUJADILI MRADI WA UJENZI WA RELI YA ISAKA- KIGALI

Waziri wa Fedha na Mipango ya Uchumi wa Rwanda Mhe. Gatete Claver akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika Ofisi ya Waziri wa Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano kuhusu upatikanaji wa Fedha za mradi wa…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 30, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Junne Januari,30, 2018 nimekuekea hapa    

YANGA KUKWEA PIPA ALFAJIRI KESHO KUWAHI MECHI SAA 10 JIONI

  KIKOSI cha Yanga kesho kinatarajia kukwea pipa alfajiri na mapema ili kuwahi mechi yao  dhidi ya Ihefu ikiwa ni mchezo wa kombe la Azam Sports HD  utakaopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine  Jijini Mbeya majira ya saa 10 jioni siku…