Latest Posts
Utaratibu wa kisheria unaponunua ardhi ya kijiji
Tulipoandika namna bora na taratibu maalum za kufuata unapotaka kununua ardhi, tulisema pia kuwa taratibu za ununuzi wa ardhi huwa zinatofautiana kutegemeana na mazingira ya kila ardhi. Tukasema unaponunua ardhi kwa msimamizi wa mirathi ni tofauti na unaponunua kwa mmiliki…
Tuhoji mpango mpya wa maendeleo wa UN
Mwezi uliopita Umoja wa Mataifa umezindua mpango mpya wa maendeleo na wa kupambana na umaskini duniani kufuatia kufikia tamati kwa Mpango wa Maendeleo ya Milenia. Mpango huu mpya unajulikana kama Sustainable Development Goals, na umepitishwa na viongozi wa nchi wanachama…
Biashara za ‘Kidijitali’
Hihitaji mamilioni kuzalisha mabilioni isipokuwa unahitaji wazo, taarifa, uwezo wa kuwasiliana na ujasiriamali vitakavyokuletea mabilioni. Vile vile miaka ya hivi karibuni hapa nchini Tanzania kuna vijana wamebuni mfumo wa kukata tiketi kwa kutumia simu za mikononi. Kinachofanyika ni kwamba unakata…
Ukistaajabu ya Morinho, utayaona ya Juma Nyoso
Soka ni mchezo unaochezwa hadharani na kupindisha jambo lolote ni kutafuta kujidhalilisha kwa makusudi, hasa katika ulimwengu wa sasa ambao teknolojia imeshika hatamu. Soka linachezwa uwanjani na wachezaji 22, lakini wanaotazama ni maelfu ya watu, na mamia ya kamera yanachukua…
Dk. Magufuli amgeuzia kibao Lowassa
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kupuuza majigambo ya vyama vya ushindani akidai endapo watashinda uchaguzi huu, watawatesa wananchi. Kadhalika, Dk. Magufuli ameshangazwa na mabosi wake wa zamani-mawaziri…
Mabadiliko Polisi, kampeni zamngo’a RPC Konyo Geita
Wakati kampeni za urais, ubunge na udiwani zikiendelea nchini, joto la uchaguzi limepamba moto kiasi cha kumponza Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Geita, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Joseph Konyo. Taarifa za uhakika kutoka Jeshi la polisi Dar es…