Latest Posts
Jifunze namna ya kuunda kampuni
Yah: Kipi kiwe kigezo cha urais kwa sasa Tanzania?
Mwaka 1995, Mwalimu Nyerere alisimama katika majukwaa ya kuongea na wananchi juu ya kiongozi safi na anayefaa kuiongoza nchi yetu katika awamu ya tatu, alisimama akaongea mengi sana ambayo mengine hadi leo hayajafanyiwa kazi na awamu zote zilizokuwapo na kupita.
Miaka 69 ya Umoja wa Mataifa, dunia iko salama?
Ijumaa iliyopita Oktoba 24, mwaka huu ulimwengu uliadhimisha miaka 69 tangu kuanzishwa Jumuiya ya Umoja wa Mataifa (UN) huko New York nchini Marekani. Ilikuwa ni baada ya Vita Kuu vya Pili ya Dunia kumalizika (1939-1945).
Tatizo la Tanzania si Katiba
Ujio wa Katiba mpya unasubiriwa kwa shauku kubwa na wananchi ambao naweza kusema wanapenda kumaliza matatizo kwa njia za kujipa matumaini.
Ombwe kamwe halikubaliki
Mwenyezi Mungu alipoumba dunia yetu alipanga kila kitu kujiendesha kwa namna ya ajabu. Viumbehai na visivyokuwa hai vyote vilipangiliwa kimaajabu kabisa kwa kadiri ya huo utaratibu wa Muumba wetu.
Athari za Serikali kupuuza vyombo vya habari
Sisi sote tunatarajia vyombo vya habari na mchango wake wa Taifa letu. Kwa jumla vyombo vya habari hufanya kazi tatu. Huelimisha, huchochea maendeleo na huburudisha. Lakini pia vyombo vya habari hupunguza tatizo la ajira. Hutoa ajira.
Habari mpya
- Tume ya uchunguzi yaongeza muda hadi Aprili 24, 2026
- Masauni ahimiza vijana kuenzi, kulinda na kutetea muungano
- Asante Trump, nasikitika Tanzania
- Soma Gazeti la Jamhuri Aprili 7 – 13, 2026
- Somalia yajiandaa uchimbaji mafuta wa kwanza wa kihistoria baharini
- Ulaya: Sio halali kulenga miundombinu ya raia vitani
- Iran yatoa neno kuhusu pendekezo la usitishwaji mapigano
- Waziri Mkuu akagua madhara ya moto soko la Simu 2000
- Wanaosambaza uongo kupotea kwa nyeti wasakwa
- Mwalimu auawa akituhumiwa kuiba nyeti Sumbawanga
- Waziri Chongolo awatangazia neema wa Idofi, kunufaika na mardi wa umwagiliaji ekari 1,300
- Rushwa, ukiritimba vyatajwa kuwa chanzo cha kupunguza furaha ya wananchi
- Wachimbaji Wadogo watakiwa kuchangamkia teknolojia na mitaji kukuza sekta ya madini
- Bei ya Taifa Gesi ni ile ile haijaongeza
- REA yatangaza mafanikio makubwa ya usambazaji wa nishati vijini, sasa yaelekeza nguvu vitongojini