Latest Posts
Dk Dimwa : Oktoba 2025 ndio mwisho wa ACT-Wazalendo Pemba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Pemba NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Mohamed Said Dimwa, amesema Chama hicho kimejipanga kuhakikisha kinashinda majimbo yote ya Pemba,kutokana na wananchi wa kisiwa hicho kukiri kuwa CCM imeisimamia vizuri Serikali yake katika kuwaletea…
CBE yaisaidia shule ya sekondari Benjamin Mkapa vifaa vya milioni 4.4/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 4.4 kwa shule ya elimu jumuishi ya Benjamin Mkapa ya jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada…
Watendaji uboreshaji wa daftari awamu ya pili watakiwa kuzingatia sheria- INEC
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na taratibu za Uchaguzi wakati wa utekelezaji wa awamu ya pili ya…
Watano wauawa kwa shambulio wanaoshukiwa kuwa Al-Shabaab Kenya
Wafanyakazi watano wa machimbo ya mawe wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia shambulio lililofanywa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al-Shabaab katika eneo la machimbo katika Kijiji cha Bur Abor, Mandera Mashariki nchini Kenya. Katika kisa kilichotokea mapema Jumanne asubuhi,…
Vita vya kibiashara vya Trump vyatawala mkutano wa BRICS
Vita vya kibiashara vilivyosababishwa na sera mpya za ushuru za rais Donald Trump wa Marekani vimeutawala mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za BRICS unaofanyika mjini Rio de Janeiro, Brazil. Mawaziri wa mambo ya nje wa Brazil,…