Latest Posts
Nidhamu itawapa wabunge heshima
WIKI hii tumeshuhudia michango mbalimbali ikitoka kwa wabunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Yametokea malumbano kati ya wabunge kadhaa na kiti cha Spika. Binafsi nilishuhudia tukio hili, hadi Mwenyekiti wa Bunge aliyekuwa amekalia kati cha Spika akaamuru mbunge mmoja kuondolewa ukumbini. Mabaunsa sita, walikwishajongea kwa nia ya kumtoa ukumbini, lakini yeye akajitoa mwenyewe.
Bila reli, barabara zitakufa
Wizara ya Ujenzi, kama zilivyo wizara nyingine, ni miongoni mwa wizara chache ambazo ni mihimili ya maendeleo ya taifa letu.
Tanzania, tofauti na makoloni mengine, iliachwa na watawala dhalimu ikiwa haina barabara, si za lami tu, bali hata za changarawe.
Magufuli moto mkali
*Atangaza kimbunga kwa wavamizi wa barabara
*Afumua mtandao wa ufisadi, gharama ujenzi zashuka
*Flyovers kuanza kujengwa kwa kasi jijini D’ Salaam
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza kiama dhidi ya wavamizi wa hifadhi za barabara nchini, huku akifanikisha kushusha gharama za ujenzi kutoka Sh bilioni 1.8 kwa kilomita moja hadi Sh milioni 700.
Hospitali ya Jeshi Lugalo kupandishwa daraja
Serikali imeaanza mipango ya kuipandisha Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo, kuwa Hospitali ya Rufaa, Bunge limeelezwa.
HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI
UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio…
Lundenga: Miss Tanzania imeitangaza nchi
Kwa muda wa miaka 18 iliyopita, mashindano ya Mrembo wa Tanzania yamekuza utamaduni, utalii na uwekezaji wa kigeni. Si hilo tu, mashindano haya yamewapa fursa mpya ya kujitambua wasichana Watanzania, anasema mwandaaji wa mashindano hayo, Hashim Lundenga.
- Umoja wa kitaifa ni muhimu katika utekelezaji wa Dira 2050 – Waziri Sangu
- Ndege agawa kompyta, meza, kabati kwa shule na zahanati Babati
- OWM yashiriki Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026
- TANESCO muongeze vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme -Ridhiwani
- Tanzania yazindi kupata uwekezaji kutoka mataifa ya nje
Habari mpya
- Umoja wa kitaifa ni muhimu katika utekelezaji wa Dira 2050 – Waziri Sangu
- Ndege agawa kompyta, meza, kabati kwa shule na zahanati Babati
- OWM yashiriki Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026
- TANESCO muongeze vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme -Ridhiwani
- Tanzania yazindi kupata uwekezaji kutoka mataifa ya nje
- Marekani na Iran wasaini makubaliano ya kumaliza vita
- Wachina wanne washindwa kusomewa mashtaka kwa kukosekana mkalimani
- Wizara ya Viwanda na Biashara yahimiza vijana kutumia fursa za kiuchumi
- Dk Katunzi awaalika wadau kusherehekea Jubilei ya dhahabu ya TBS
- CRDB yatoa milioni 450/- kufanikisha Bunge Grand Bonanza, wabunge kuchuana na mabalozi Dodoma
- Kampeni ya Mama Samia kutua Zanzibar, talaka, mirathi na ukatili kupatiwa majawab
- Wadau wa madini wakumbushwa kuzingatia sheria kuongeza manufaa kwa Taifa
- Waziri Kikwete avutiwa na mfumo wa kupanga na kusimamia miradi REA
- Umeme upo wa kutosha; unaangaza maisha ya wananchi- Kikwete
- Mapambano kuenea kwa jangwa na ukame UNCCD, JET zataka maeneo ya malisho yatambuliwe