Latest Posts
Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa
Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa wa vita na raia baada ya siku mbili za mazungumzo ya amani yanayosimamiwa na Marekani huko Abu Dhabi. Jumla ya Waukraine 157 – saba kati yao wakiwa raia – na wanajeshi 157 wa…
Wasira asisitiza umoja CCM
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza umoja wa wanachama ndiyo uliokiwezesha chama kufanya mambo makubwa. Wasira alisema hayo leo mjini Bunda katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 49 ya kuzaliwa kwa CCM….
Prof. Shemdoe, balozi wa Norway wajadiliana namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya namna ya…
Askari waTanzania wavishwa nishani kutambua mchango wa kulinda amani Sudan Kusini
Maafisa,na askari wa vyeo mbalimbali kutoka Jeshi la Polisi Nchini Tanzania ambao nikundi lilomaliza muda wake wa kuhudum kulinda amani nchini Sudan kusini wamehitimisha kwa Paredi maalum ambayo ili ambatana na kuwavisha nishani( Medall Pin) maafisa na askari hao ikiwatambua…
TMA yawakumbusha waandishi wa habari kuelimisha jamii kuepuka madhara yatokanayo na mvua
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka waandishi wa habarinchini,kufuatilia na kusambaza taarifa sahihi za utabiri na tahadhari ya hali ya hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Akizungumza na Waandishi…
Dk Jingu : Tumieni kalamu na nafasi zenu kueleza mafanikio programu ya kizazi chenye usawa
Na Tina Makoye – WMJJWM, Dodoma Wakuu wa Vitengo vya Habari na Mawasiliano Serikalini wa Wizara na Taasisi za Serikali wameaswa kutumia nafasi zao kueleza jamii na dunia kwa ujumla kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa programu ya kizazi chenye…





