Latest Posts
Watalii wafurika Hifadhi ya Serengeti kushuhudia uhamaji wa nyumbu kwenda Kenya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serengeti NI mafuriko ya watalii. Hivi ndivyo unavyoweza kusema ukifika katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti husuan eneo la Seronera. Hoteli zote zimejaa wageni. Magari ya kubeba watalii hazina idadi. Ni mwendo wa ndege kutua na…
Leseni za madini sasa kutolewa kwa uwazi na ufanisi zaidi
Mwasandende asifu juhudi za Tume ya Madini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Afisa Elimu, Kazi na Jinsia kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), Bwana Nsubisi Mwasandende, ameipongeza Tume ya Madini kwa juhudi kubwa inazozifanya katika kusimamia…
Wanaotaka vitu kinyume na katiba, sheria ni sawa na ugaidi – Wasira
*Asisitiza umuhimu wa kuheshimu sheria za nchi ,utawala bora *Aishangaa CHADEMA kuwa na kauli mbiu ya No Reform No election kuzuia uchaguzi *Atuma ujumbe kwa wana CCM kutenda haki kupata wagombea ubunge udiwani Na Mwandishi Wetu, Ukerewe MAKAMU Mwenyekiti wa…
Baraza la Maaskofu Katoliki lapiga marufuku wanasiasa kusimama madhabahuni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Maaskofu katoliki nchini (TEC) limepiga marufuku viongozi wa kisiasa au kiserikali kupewa nafasi ya kuzungumza madhabahuni, iwe kusalimia, hotuba au kusema chochote. Taarifa ya Mwongo wa Maboresho ya Liturujia iliyotolewa na…
Machifu wamkabidhi Samia Utemi wa Taifa, wamuunga mkono
Machifu kutoka maeneo mbalimbali nchini wamewasilisha maombi kwa Rais Samia Suluhu Hassan, wakimtambua kama Chifu Hangaya, wakiomba kuwa mlezi wa Tamasha la Machifu na kulifanya liendelee kufanyika chini ya ofisi yake. Aidha, wamemuomba kufadhili tamasha hilo na kujenga uwanja wa…