Latest Posts
Bilioni 19.6 za mradi wa TACTIC kuleta mageuzi ya kijamii na kiuchumi Lindi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Serikali imeanza utekelezaji wa mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaolenga kukuza uchumi na kuboresha maisha ya wananchi katika Manispaa ya Lindi mkoani Lindi. Hayo yameelezwa na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi…
Makamu wa Rais akishiriki Misa Takatifu ya kuombea hayati JPM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiungana na Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri…
Wananchi, viongozi wakishiriki ibada ya kumuombea hayati Dk John Magufuli
Viongozi pamoja na wananchi mbalimbali wakishiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe…
Tuamue kuiokoa Ngorongoro au kuiteketeza
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita, Tume mbili za Rais zimewasilisha ripoti zao kuhusu mustakabali wa Mbunga ijulikanayo kama Ngorongoro Conservation Area (NCA). Ripoti hizi zimejadili kwa kina suala la uwepo wa binadamu ndani ya eneo hili…
Waziri Dk Gwajima aieleza dunia mafanikio ya mapambano dhidi ya ukeketaji
Na WMMJW- New York Marekani. SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, inaendelea kuimarisha hatua za kinga na huduma kwa waathirika wa ukatili wa kijinsia na watoto kupitia utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa…





