Latest Posts
Tamasha la Utalii siku tatuA (Mafia Idland Festival) lafunguliwa leo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Tamasha la Utalii lijulikanalo kama “Mafia Island Festival” limefunguliwa rasmi leo Desemba 6, 2024 na mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Rashid Mchatta ambaye ni mgeni rasmi wa Tamasha hilo litakalodumu kwa siku tatu….
Spika mstaafu ashangaa wasichana kuwaacha wavulana kitaaluma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SPIKA mstaafu Anne Makinda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kairuki amependekeza zifanyike tafiti kujua sababu za watoto wengi wa kiume kuachwa nyuma kitaaluma na wenzao wa kike. Aliyasema hayo jana…
Furahika chaanzisha kozi ya kufundisha wasichana ukondakta kwenye mabasi
u Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Ufundi Stadi cha Furahika, kimeanzisha program mpya ya kuwafundisha watoto wa kike masuala ya ukondakta kwenye mabasi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Chuo hicho,…
Serikali bega kwa bega na wafanyabiashara kutatua changamoto zao
๐ Rais Samia Apongezwa Kuifungua Nchi Kiuchumi ๐ Dkt. Biteko Awahimiza Wafanyabiashara Kulipa Kodi Kwa Maendeleo ya Nchi ๐ TCCIA Yaendelea Kuwa Daraja la Wafanyabiashara wa Tanzania, Yafungua Ofisi China, London na Uturuki ๐Serikali Yapongezwa Kwa Kuwekeza Kwenye Miundombinu Na…
Majiko ya gesi 19,530 kusambazwa kwa bei ya ruzuku Kilimanjaro
๐Kila wilaya kupata majiko 3,255 ๐Kilimanjaro wamshukuru Rais Samia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatarajia kusambaza jumla ya majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita 19,530 yanayotolewa kwa bei ya ruzuku ya 50% Mkoani Kilimanjaro…
HOMSO yakabidhi mashine za kusaidia kupumua watoto wachanga zenye thamani ya milioni 10.5
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Taasisi ya Wiloses Foundation imekabidhi mashine mbili zenye thamani ya sh. Milioni 10.5 katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea (HOMSO) ambazo zitasaidia watoto wachanga na wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) kusaidia kupumua na kurekebisha…





