Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, kabla ya kumkabidhi Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-5-2025.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 14-5-2025.(Picha na Ikulu)