Rais Mhe. Dkt. Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Jijini Dar es Salaam
JamhuriComments Off on Rais Mhe. Dkt. Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.