Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 13/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 13/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi  pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.[Picha na Ikulu] 13/03/2023.