Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Yahout Hassan Yakout kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 06/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Asha Khamis Hamad  kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/03/2023.
Bw.Yahout Hassan Yakout akila kiapo mbele ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa  Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 06/03/20
Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/03/2023
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/03/2023
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 06/03/202
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu.Jamali Kassim Ali,wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].06/03/2023

By Jamhuri