Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kasri la Kifalme pamoja na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway Kwa ajili ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway kwenye Kasri la Kifalme Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Dhifa ya Kitaifa Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Malkia Sonja wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway kwenye Kasri la Kifalme Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.
 
Please follow and like us:
Pin Share