Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wawekezaji na Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania wakati akiwa njiani kuelekea New Delhi nchini India kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara pamoja na Wawekezaji mbalimbali wa Tanzania wakati akiwa njiani kuelekea New Delhi kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa nchini India tarehe 08 Oktoba, 2023.