Rais Samia auhutubia mkutano wa hadhi ya juu wa kuipa uwezo vituo vya nishati
JamhuriComments Off on Rais Samia auhutubia mkutano wa hadhi ya juu wa kuipa uwezo vituo vya nishati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa hadhi ya juu wa kuipa uwezo vituo vya Nishati pamoja na Nishati jadidifu Kusini mwa Afrika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 08 Novemba, 2022.Viongozi mbalimbali wakiwa katika Mkutano wa hadhi ya juu wa kuipa uwezo vituo vya Nishati pamoja na Nishati jadidifu Kusini mwa Afrika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 08 Novemba, 2022.