Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. John Stephen Simbachawene kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Selestine Gervas Kakele kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Dkt. Habib Gallus Kambanga kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Juni, 2024.