Archives
Wafariki ikwa mafuriko mkoani Manyara wafikia 49, Naibu Waziri wa Afya atoa pole kwa majeruhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiwa ameongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam kutoka Wizara ya Afya mapema leo Desemba…
Waziri Kijaji ataka wenye viwanda kuzalisha bidhaa zenye ubora
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amevitaka viwanda vyote nchini kutengeneza bidhaa zenye ubora kwa gharama nafuu ili ziweze kuingia katika soko Eneo huru la biashara Afrika (AfCFTA) Ameyasema hayo Agosti 3, 2023 alipotembea Kiwanda cha kuzalisha Maziwa…
Rais Samia awataka Yanga waboreshe maslahi ya wachezaji, wamalize mzozo wa Fei Toto
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na wadhamini wa Young Africans SC kuwaboreshea wachezaji maslahi yao sanjari na kuwakumbusha kukaa meza moja kufanya mazungumzo na Kiungo Feisal Salum (Feitoto). Rais Samia amesema hayo…
Rais Samia awataka watunza kumbukumbu kutunza siri, kuwa na nidhamu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Muhsusi na Watunza kumbukumbu kuwa na nidhamu, uadilifu na kutunza siri kwani ndio chachu ya maendeleo. Amesema wanapaswa kuzingatia weledi wa taaluma zao kwa kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao kwa kuzingatia miongozo na…
Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa mshauri wake wa masuala ya kilimo na chakula
Katika kutekeleza azimio la Viongozi wa nchi za Afrika, kupitia Mkutano wa Utoshelevu na Ustahimilivu wa Chakula (Dakar 2 Summit on Feed Africa: Food Sovereignty and Resilience) uliofanyika Dakar, Senegal Januari 25 hadi 27 , 2023, waliazimia kila nchi kuunda…





