Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Nanenane Zanzibar 2023, katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A”Unguja leo 1-8-2023 yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Muongozi wa Kilimo Zanzibar Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi, baada ya kukizindua katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Madharibi “A”Unguja baada ya kuyafungua Maonesho ya Nane nane ya Kilimo Zanzibar 2023 katika viwanja hivyo leo 1-8-2023. na (kulia kwa Mama) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid.(Picha na Ikulu)
Wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar, wakifuatilia ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar 2023, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hayo katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 1-8-2023.(Picha na Ikulu)

Baadhi ya Mawaziri. Makatibu Wakuu na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar 2023, yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 1-8-2023.(Picha na Ikulu)

By Jamhuri