Archives
TBL wakwepa kodi hadi Uingereza
Kwa muda wa wiki sita tumekuwa tukikuletea mwedelezo wa taarifa jinsi kampuni ya SABmiller inayomiliki Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) inavyotumia udhaifu wa kisheria kutolipa kodi sahihi. Ifuatayo ni taarifa ya utafiti uliofanywa na Kampuni ya Uingereza iitwayo ActionAid…
Wanywaji wailalamikia TBL
Wananchi na watumiaji wa bia wamelalamikia hatua ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupandisha bei ya bia kabla hata bajeti ya Serikali haijapitishwa. Tangu Aprili 1, 2016 bei za bia zimepanda kutoka wastani wa Sh 2,300 na kufikia 2,500, huku…
Kigogo Uhamiaji aibeba TBL
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, ameibeba Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa kupuuza agizo la kufanya ukaguzi kwa wafanyakazi kiwandani hapo. Vyanzo vya habari vya uhakika kutoka idarani humo vimedokeza kuwa Uhamiaji…
TBL maji shingoni
Wiki tatu tangu gazeti hili limeanza kuchapisha taarifa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) inayomiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited (TBL) zinazomilikiwa kwa ubia kati ya Watanzania (38%) kupitia Soko la Hisa…
TARURA yakamilisha ujenzi barabara ya Eso – Longdon kwa kiwango cha lami Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa barabara ya Eso–Longdon yenye urefu wa kilomita 1.8 kwa kiwango cha lami katika Jiji la Arusha. Akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea…
