JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Archives

NMB yatangaza wadhamini NMB Marathon 2022

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wiki moja kabla ya kufanyika kwa Mbio za Hisani za NMB Marathon ‘Mwendo wa Upendo,’ Benki ya NMB inayoandaa mbio hizo imetangaza wadhamini zaidi ya 20, ambao wameeleza siri ya uamuzi wa kukubali kudhamini kuwa ni kuguswa…

Mvutano waendelea ‘stendi’ Moshi

Mvutano unaendelea kati ya Halmashauri ya Manispaa ya Moshi na wafanyabiashara wenye maduka katika Jengo la Biashara la Stendi Kuu ya Mabasi mjini Moshi. Mvutano huo unahusu mkataba mpya wa upangaji baada ya ule wa awali wa miaka 15 kumalizika…

Asanteni wasomaji wetu

Wiki iliyopita, yaani Desemba 6, 2018 Gazeti la JAMHURI limetimiza miaka saba sokoni. Sasa tumeanza mwaka wa nane. Katika kipindi chote hicho cha miaka saba hatujawahi kushindwa kwenda sokoni. Tumechapisha kwa ukamilifu matoleo yote 52 kila mwaka na ya ziada…

UWEKEZAJI WENYE MTAZAMO ENDELEVU WA BIASHARA UTAFANIKISHA MPANGO WA KUJENGA TANZANIA YA VIWAND

Lisa akiwa (kushoto) akiwa na mwenzake katika mpango wa GMT, Raj Chandarana wakipanda mti wilayani Hai katika mradi wa mazingira wa TBL. Lisa (wa pili kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake wa TBL baada ya kushiriki katika mradi…

VIJANA WASHAURIWA KUWA WASHIRIKI WA MAENDELEO NA SIO WANAOYASUBIRI

MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Alvaro Rodriguez amewataka vijana wa Tanzania kuwa washiriki katika mipango ya maendeleo na sio kusubiri kufanyiwa.   Aidha ameshauri vijana kuacha kuilalamikia serikali na jumuiya ya kimataifa kuhusu ajira na badala…

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA BARABARA NA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUZALISHA CHAKULA CHA KUKU NA VIFARANGA

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.   Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali baada…