Shamrashamra mkutano Kampeni za Uchaguzi CCM Tanga
JamhuriComments Off on Shamrashamra mkutano Kampeni za Uchaguzi CCM Tanga
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza mziki wa Taarab na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM uliofanyika Tanga mjini, tarehe 29 Septemba, 2025.Shamra shamra za wananchi wa Tanga mjini katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tanga tarehe 29 Septemba, 2025.Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa mkutano kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Tanga katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani humo tarehe 29 Septemba, 2025.