JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: Alexis Sanchez

Alexis Sanchez Atupwa Jela Miezi 16 Kwa Kukwepa Kodi

Mchezaji mpya wa klabu ya Manchester United Alexis Sanchez amehukumiwa jela miezi 16 kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi. Hukumu hiyo imetolewa jana ,Sanchez anadaiwa kukwepa kulipa kodi wakati alipokuwa nchini Uhispania ambapo mamlaka nchini humo zinasema anadaiwa kiasi…

SANCHEZ KAZINI LEO AKIWA NA UZI WA MAN UNITED

Alexis Sanchez. MANCHESTER Unit­ed inatarajiwa kuwa uwanjani leo Ijumaa kuivaa Yeo­vil Town katika raundi ya nne ya Kombe la FA. United itakuwa ugenini kuivaa timu hiyo ya dara­ja la pili ambapo kuna mambo kadhaa yatakuwa gumzo juu ya mchezo huo….