Baada ya kutia kandarasi ya mwaka mmoja na Mbao FC, uongozi wa Lipuli wasema wanatambua kuwa kocha Amri Said 'Stam' bado ana mkataba na timu yao. Mwenyekiti wa Lipuli, Ramadhani Mahano, amefunguka na kusema wao wanatambua kuwa Stam ni kocha…
Soma zaidi...