
Mwanajeshi Aliyeshambuliwa DR Congo Afariki Dunia
Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) aliyekuwa katika ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amefariki dunia nchini Uganda alimokuwa akipatiwa matibabu. Askari huyo ni miongoni mwa askari 44 wa Tanzania waliojeruhiwa katika shambulio lililotekelezwa na waasi wa The Allied Democratic Forces (ADF) katika kambi ya walinzi wa…