JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: meya wa dar es salaam

PICHA MBALIMBALI MEYA WA DAR ES SALAAM ALIVYOMTEMBELEA WAZIRI MSTAAFU LOWASSA

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita jana alimtembelea ofisini kwakwe na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edward Lowassa ,ambapo wamejadiliana mambo mbalimbali…

WANANCHI WA PUGU WA MPONGEZA MEYA MWITA KWA KUWAPATIA MAJI SAFI NA SALAMA

Wananchi wa Pugu wa mpongeza Meya Mwita kwa kuwapatia maji safi na salama. WANANCHI wa Kata ya Pugu, Mtaa wa Mustafa, wamempongeza Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kwa kuwapelekea maji safi na salama huku wakibainishiwa…

UFAFANUZI WA KUKAMATWA KWA GARI YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Ndugu waandishi wa habari. Napenda kutumia fursa hii kuwapa pole wananchi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na taarifa ambazo zimeripotiwa leo kwenye baadhi ya magazeti. Jumamosi ya Tarehe 27 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya…

Jiji La Dar Es Salaam La Pata Tuzo Ya Usafirishaji Abiria Kupitia Mabasi Ya Mwendo Kasi

JIJI la Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji 10 duniani ambayo yamepata tuzo ya C40 Bloomberg Philantropies 2017 kupitia Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka. Katika tuzo hiyo mwaka huu imepokelewa na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam…