BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE 2017/2018

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo.   Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu Mtendaji wa baraza hilo,  Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 1,086,156 waliofanya mtihani…

Read More