Makonda azua gumzo bungeni

Na Editha Majura, Dodoma Ushawishi wa wabunge wa kutaka Bunge na Serikali, kumchukulia hatua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kutokana na hatua yake ya kuita na kusikiliza hadharani vilio vya baadhi ya wanawake waliotelekezwa na kutopewa matunzo ya watoto, umegonga mwamba. Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga, Jumatano jioni ya wiki iliyopita…

Read More