PPF WAMKANA MFANYAKAZI WAO ALIYEKAMATWA NA MIRUNGI
MFUKO wa Pensheni wa PPF umesema mfanyakazi wake, Anitha Oswald, wa ofisi ndogo ya Moshi aliyekamatwa wiki hii akiwa na madawa ya kulevya aina ya mirungi huko Moshi, Kilimanjaro, alikuwa kwenye likizo ya dharura na kwamba alikamatwa akiwa kwenye gari lake binafsi na nje ya eneo la kazi. Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na PPF vyombo…