Rais wa Ujerumani, Frank- Walter Steinmeir, amehitimisha ziara yake katika bara la Afrika kwa kuhimiza masuala ya demokrasia na maendeleo ya kiuchumi.  Katika ziara yake hiyo, Rais Steinmeir  amehimiza uimarishwaji vita dhidi ya ufisadi  na  mapambano imara juu ya  uhamiaji unaoendelea…
Soma zaidi...