JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: rc makonda

Vidole Havitatumika Kupima Wanaume wa Dar Tezi Dume-Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa, njia itakayotumika kuwapima saratani ya tezi dume wanaume wa Dar es Salaam ni njia ya damu na sio kwa kutumia kidole kama inavyodhaniwa na baadhi ya watu. Ameeleza kwamba,…

Makonda Asema Wtaendelea kuwatibu wanaomtukana Rais Dkt Magufuli

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amefunguka na kusema kuwa wao kama viongozi wanazidi kuimarisha huduma mbalimbali za afya ili watu ambao wanamtusi Rais Dkt John Pombe Magufuli wazidi kuwa na afya nzuri. Makonda amesema hayo leo…

MAKONDA APONGEZA KASI YA MATENGENEZO MAGARI YA POLISI,MAGEREZA,JWTZ

 Baadhi ya magari ya vyombo vya ulinzi na usalama ambayo yanaendelea kutengenezwa ambayo yalipelekwa yakiwa yameharibika kabisa   Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza leo wilayani Mkuranga mkoani Pwani wakati alipoenda kukagua magari 11 ya vyombo vya ulinzi na…