Limonga Justin Limonga wa pili kutoka kushoto enzi za uhai wake Tanzia: Mtangazaji wa kipindi cha Michezo cha Uhuru FM Justin Limonga amefariki Dunia Leo asubuhi katika hospital ya TMJ alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Mpendwa wetu Limonga
Soma zaidi...