Limonga Justin Limonga wa pili kutoka kushoto enzi za uhai wake

Tanzia: Mtangazaji wa kipindi cha Michezo cha Uhuru FM Justin Limonga amefariki Dunia Leo asubuhi katika hospital ya TMJ alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. R.I.P Mpendwa wetu Limonga

Please follow and like us:
Pin Share