
Heri ya Mwaka Mpya na Muhogo
Mpendwa msomaji nakutakia heri ya mwaka mpya 2018. Mungu alipo hakuna cha kuharibika. Nikiri kuwa katika kuumwa nimepata fursa ya kufahamu Watanzania wanavyofuatilia kazi ya mikono yangu na hasa hili suala la muhogo. Nimegundua kuwa Watanzania wengi wana nia ya kujiondoa katika lindi la umaskini. Sitanii, kwanza niwie radhi msomaji wiki iliyopita, makala hii ilikuwa…