Home Kitaifa WAKILI MSOMI PETER KIBATALA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

WAKILI MSOMI PETER KIBATALA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

by Jamhuri

Peter Kibatala ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Mkurugenzi wa Sheria na Katiba Maendeleo (CHADEMA) amefiwa na mama yake mzazi Bi. Anna Mayunga ambaye amefariki jana.

 

You may also like