Yanga Sc leo inashuka dimbani kupambana na Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa majira ya saa moja jioni jijini Nairobi, Kenya

Tutarajie matokeo ya aina gani kwenye mchezo huo

Please follow and like us:
Pin Share