Home Kitaifa ZITTO KABWE AWATAKA CHADMA KUSITISHA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI

ZITTO KABWE AWATAKA CHADMA KUSITISHA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI

by Jamhuri

Zitto Kabwe akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa Mzee Kingunge

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kupitia kwnyw kurasa wake Twitter amewataka CHADEMA kusitisha kampeni za Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa heshima ya Mzee Kingunge Ngombali Mwiru aliyefariki juzi hospital ya Muhimbili alipolazwa baada ya kung’atwa na Mbwa wake.

Zitto Kabwe amesema CHADEMA wanapaswa kusitisha Kampeni mpaka Mzee huyo atakapozikwa, mzee Kingunge alikuwa na mwanachama wa CHADEMA baada ya kukihama Chama Cha Mapinduzi(CCM) mwaka 2015 kweny kampeni za kuwania Urais na Wabunge ambapo Rais Magufuli alimshinda Edward Lowassa aliyegombania nafasi ya Urais kupitia UKAWA.

Mzee Kingu anatarajiwa Kuzikwa kesho Jumatatu tarehe 5 kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

 

You may also like