Waomboleza

Familia ya Naomi Marijani (36), imefanya maombolezo kwa ibada maalumu baada ya kuthibitika kuwa binti yao ameuawa. Ingawa haijathibitika nani kamuua (kwani kesi ndiyo imeanza), pamoja na mume wake kukiri mbele ya polisi kuwa alimuua na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa nyumbani kwake Gezaulole, Kigamboni, Dar es Salaam na kisha kuzika mabaki…

Read More

Malaria tishio Ukerewe

Maambukizi ya ugonjwa wa malaria katika Mkoa wa Mwanza yanazidi kuiweka jamii ya mkoa huo hatarini. Kwa sasa Mkoa wa Mwanza una kiwango cha asilimia nane ya maambukizi ya ugonjwa huo ikiwa ni juu ya kile cha taifa ambacho ni asilimia saba. Ugonjwa huo unaosababisha vifo vya mamilioni ya watu ulimwenguni ni dhoruba inayoiandama dunia…

Read More

Tukipeleke Kiswahili SADC

Watanzania tumejiandaa kupokea ugeni mkubwa kwa wakati mmoja, kuanzia wiki ya kwanza ya Agosti hadi ile wiki ya tatu. Macho ya dunia yatakuwa Tanzania kufuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Wakati wageni wanaanza kuingia nchini kwa ajili ya vikao vya awali vya wataalamu pamoja na kikao cha…

Read More

NINA NDOTO (29)

Kufanana ndoto si kufana matendo   Watu wawili kuwa na ndoto moja haimaanishi kuwa kila watakachofanya kitafanana. Kuna aliyewahi kuimba akisema, “Hata vidole havilingani”. Vyote ni vidole, lakini vinatofautiana kwa urefu. Hata watu ambao tunawaita mapacha wanaofanana bado kuna vitu wanatofautiana. Ndoto yaweza kufanana na ya mtu mwingine, lakini mwishowe wakafanya mambo tofauti na pia…

Read More

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (25)

Wiki iliyopita nilihitimisha mada yangu kwa kuhoji: “Mpendwa msomaji, je, unafahamu kodi inayoitwa Kodi ya Ongezeko la Mtaji (Capital Gains Tax) na inatozwa kwenye bidhaa zipi? Ni bidhaa mbili ambazo kwa njia moja au nyingine watu wengi hata wasiokuwa wafanyabiashara kwa nyakati tofauti wameshiriki kufanya biashara hiyo, lakini aghalabu ni wachache wanaoilipa kodi hii, ila…

Read More