Daily Archives: September 10, 2019

Msondo Ngoma ilikotoka (1)

Baadhi ya watu inawezekana wakawa wamekwisha kusahau kwamba kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika zilikuwepo bendi nyingi lakini mara baada ya Uhuru kuliundwa bendi iliyopewa jina la NUTA Jazz. Mwaka huu inatimiza miaka 55 tangu ianzishwe mwaka 1964 katika Jiji la Dar es Salaam, ikiwa chini ya umiliki wa Jumuiya ya Wafanyakazi Tanzania (National Union of Tanzania) kwa kifupi ...

Read More »

Mitego kwa makocha wageni 2019/2020

Msimu mpya wa Ligi Kuu Bara umeanza hivi karibuni kwenye viwanja mbalimbali huku ukiwa na mvuto wa aina yake. Ndiyo msimu wa mwisho wenye timu 20, kwani kwa mujibu wa waandaaji, kuanzia msimu ujao timu hizo zitapungua kwa matakwa ya wadhamini. Msimu huu umeanza kwa matukio ya kushtua kwa vigogo wote watatu; ambapo Azam FC iliishinda timu ya Manispaa ya Kinondoni ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons