Author: Jamhuri
Lindi yajivunia mchango wa NGOs katika maendeleo
Na WMJJWM, Lindi Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amesema Serikali inatambua mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika kuleta maendeleo kwa wananchi. Hayo yamesemwa Julai 10, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva kwa niaba ya…
Dk Mpango ahutubia mkutano wa kimataifa wa mifumo ya Hifadhi ya Jamii
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema pamoja na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Barani Afrika kutumika kuwekeza katika kuendeleza miundombinu ni vema kuhakikisha michango ya wanachama ambayo imetengwa kama kinga dhidi ya…
Ubalozi wa Tanzania, Serikali ya Comoro kufanyia kazi ofa ya walimu wa Kiswahili ya Rais Samia
Ubalozi wa Tanzania na Serikali ya Comoro zimekubaliana kuendeleza mazungumzo ya kuanzisha ufundishwaji wa Kiswahili mashuleni kufuatia ahadi ya Rais Samia ya kutoa walimu na vifaa kwa shule za nchi hiyo. Maelezo hayo yametolewa na Balozi wa Tanzania,Saidi Yakubu na…
Serikali yawekeza bilioni 17.8/- kuimarisha huduma uchunguzi wa kisayansi wa kimaabara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza zaidi ya bilioni 17.8 kutoka bilionin13.6 katika ununuzi wa mitambo ya uchunguzi ili kutoa huduma bora za uchunguzi wa Kisayansi wa…
Mbinu mpya wauza dawa za kulevya kutumia vifungashio vya mbolea vyabainika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanikiwa kukamata kilo 11,031.42 za dawa mpya za kulevya aina ya Mitragyna Speciosa katika kipindi cha…
eGA yatumia Sabasaba kuelimisha umma kuhusu Mfumo wa e-Mrejesho, yajivunia Tuzo ya Kimataifa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Serikali Mtandao (eGA) imeendelea kuonesha namna ambavyo Serikali inavyotekeleza mageuzi ya kidigitali kwa lengo la kuboresha utoaji huduma kwa wananchi kupitia matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Akizungumza katika…