Burudani

Oliver Mtukudzi mwanamuziki mkongwe Afrika

Na Moshy Kiyungi Oliver Mtukudzi ni mwanamuziki mkongwe, anayevuma sana hata nje ya mipaka ya nchi yake ya Zimbabwe. Nyimbo zake zinazohamasisha amani na kutoa burudani barani Afrika, zimesababisha yeye kutumika kama alama katika taifa hilo hususan kwa upande wa sanaa ya nchini mwake. Wasifu wa Oliver ‘Tuku’ Mtukudzi unaeleza kuwa alizaliwa Septemba 22, 1952 mjini Highfield, Harare. Ni mwanamuziki ...

Read More »

Wastara Kurejea Nchini Kesho Alhamisi, Hali yake Safi

Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeimarika na anatarajiwa kurejea Bongo kesho Alhamisi, Machi 1, 2018. Taarifa iliyotolewa Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano na UMMA wa Chama Cha Waigizaji Kinondoni, Masoud Kaftany imewaomba wasanii na Watanzania kwa ujumla wao wajitokeze kumpokea Wastara kesho Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.   TAARIFA KWA ...

Read More »

ZARI THE BOSI LADY: NIMEMBLOCK DIAMOND PLATINUMZ WIKI TATU HATUONGEI

Mrembo Zari Hassan maarufu Zari The boss Lady amefunguka na kueleza kuwa hana mpango wowote wa kurudiana na mzazi mwenzake Diamond Platinumz. Zari aliyasema hayo, alipokuwa akifanya mahojiano na shirika la Utangazaji cha Uingereza (BBC),  na kuongeza kuwa uamuzi alioufanya haukuwa wa kukurupuka na alifikiria kwa muda mrefu kabla ya kufikia uamuzi huo. “Nilikaa muda mrefu nikafikiria vitu vingi ndipo ...

Read More »

TANZIA: Mwanamuziki Mowzey Radio Afariki Dunia

Mwanamuziki wa Uganda, Moses Ssekibogo ‘Mowzey Radio’ enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI nyota nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzery Radio, amefariki. Habari zilizothibitishwa na familia yake na mmoja wa mameneja wake aitwaye Balaam Barugahare, kwa vyombo vya habari, zinazema Mowzery amefariki asubuhi ya leo akiwa katika Hospitali ya Case mjini Kampala. “Ndiyo, Radio amefariki asubuhi hii,” alisema Barugahare katika ...

Read More »

WCB Wamtambulisha Mbosso WCB

WCB wakiwa katika picha ya pamoja, katikati ni msanii wao mpya, Mbosso.   BURUDANI ya aina yake imepigwa na wasanii wa Lebo ya WCB usiku wa kuamikia leo wakati kumtambulisha msanii mpya katika kundi hilo, Mbosso ambaye awali alikuwa Yamoto Band kabla ya kundi hilo kuvunjika. Mbosso, Diamond na Rayvanny wakikamua.   WCB ikiongozwa na Lejendari, Diamond Platnumz, wamemtambulisha huyo ...

Read More »

Diamond Avunja Ukimya Kuhusu Mimba ya Tunda

Diamond akifanya mahojiano maalum na Global TV online.   HATIMAYE msanii kutoka industry ya Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za kumapachika uzauzito Video Vixen wa Bongo, Tunda. Interview ikiendelea. Akifanya mahojiano maalum ya Global TV Online, Diamond amekanusha kumpachika mimba staa huyo na kudai kuwa hajawahi hata kutebea naye wala kuwa na mahusiano naye. Tunda. “Sio kila ...

Read More »

Hawa Hapa Washindi wa Tuzo za Grammy 2018

Rihanna na Kendrick Lamar kwenye Red Carpet ya Grammy Awards 2018. Hapa nimekuwekea orodha ya wasanii wote walioibuka washindi katika vipengele mbalimbali vya Tuzo za Muziki za Kimataifa za Grammy usiku wa kuamkia leo. • Bruno Mars ndiye alikuwa kinara kwa kunyakua Tuzo tatu kubwa ambazo ni Album of The Year, Record of the Year na Song of The Year. • ...

Read More »

Vanessa Mdee shinda Tuzo Ya ‘Nyota Wa Mchezo’

Mtangazaji wa Times FM, Lil Ommy akimkabidhi Tuzo ya ‘Nyota Wa Mchezo’, Mwanamuziki, Vanessa Mdee maarufu Vee Money. Vanessa Mdee amekuwa msanii wa kwanza Tanzania kupokea Plaque ya ‘Nyota Wa Mchezo’ baada ya kutajwa kama ‘Nyota wa Mchezo’ kwenye vipengele vya BestFemaleAct, BestPerformer, BestLiveAct #EmergingArtistOfTheYear. Plaque hiyo inatolewa na kipindi cha The Playlist cha Times FM na mtangazaji Omary Tambwe aka Lil Ommykwa kutambua mchango na mafanikio ya msanii ...

Read More »

ZARI THE BOSS LADY ANASA NYENDO ZA DIMOND PLUTNUM

  Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekena Tunda ana mahusiano ya kimapenzi na Diamond Platnumz kutokana tu na ukaribu walionao wawili hao. Zari the boss lady ambaye ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz ameonekana kupata taarifa hizo kuhusiana na tetesi zinazoendelea katika mitandao ya kijamii na kuamua kuandika ujumbe kwa Diamond Platnumz kupitia ...

Read More »

WASANII ZAIDI YA 400 KUTUMBUIZA KATIKA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2018

Kila mwaka katika mwezi Februari, maelfu ya mashabiki wa muziki kutoka katika kila pembe ya dunia wanakusanyika katika eneo la Ngome Kongwe, Mji Mkongwe kuonja ladha ya kipekee ya muziki wa Kiafrika katika Tamasha la Sauti za Busara. Tamasha hili hutoa fursa nyingi, mbalimbali ikiwemo za kibiashara katika fani tofauti pia wenye vipaji hupata fursa ya kupiga hatua za juu ...

Read More »

BAADA YA KUNUNUA NYUMBA AFRIKA KUSINI DIAMONDA SASA KUNUNUA NYUMBA RWANDA

Diamond amewauliza mashabiki wake wa Rwanda ni sehemu ipi ambayo ni nzuri kwa ajili ya makazi. Kupitia ukursa wake wa Instagram muimbaji huyo wa WCB wameandika; am looking for a property to buy in Kigali My future new home for the Simbas! My Rwandese fam, any ideas….? Ningependa kuwa na kakibanda Kigali, Rwanda, Maana ni moja ya nchi niipendayo… hivyo ...

Read More »

Diamond Ashinda tuzo ya Soundcity MVP Nigeria

Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameshinda tuzo kutoka Kituo cha Runinga cha Soundcity. Muimbaji huyo ameshinda katika kipengele cha Best Male MVP ambapo alikuwa akichuana na wasanii wengine kama Davido, RunTown, Olamide, Wizkid, 2Baba (2face) wote kutoka Nigeria na Sarkodie, Shatta Wale kutoka Ghana pamoja na Navio kutoka Uganda. Diamond ndio msanii pekee kutoka Tanzania na Afrika mashariki kushinda ...

Read More »

VIDEO QUEEN KIDOA APORWA GARI NA BWANA WAKE

Muuza sura ashuhuri Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ anadaiwa kupokonywa gari aina ya Subaru na mwandani wake ambaye ni kigogo wa serikali baada ya kushindwana tabia. Taarifa kutoka kwa chanzo kilicho karibu na mrembo huyo zimeeleza kuwa, Video queen huyo  licha ya kujitapa kwamba gari hilo alinunua mwenyewe, ukweli ni kwamba alipewa na bwana’ke ambaye alikuwa anaishi naye kinyumba maeneo ya ...

Read More »

MAMA MOBETO AMTUPIA KIJEMBE KIAINA MAMA ESMA

MAMA mzazi wa Mwanamitindo maarufu Bongo Hamisa Mobeto, Shufaa Lutigunga amefunguka kuwa hayuko tayari kuolewa na “Serengeti Boy” wakati watu wazima wenzie wapo, kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni kumchana mama Esma aliyeolewa hivi karibuni na kijana mwenye umri mdogo kulinganisha na yeye. Mama Mobeto alisema kuwa, sasa hivi ameshakuwa mtu mzima na ni bibi mwenye wajukuu hivyo kuolewa na kijana ...

Read More »

Hii Ndio Video ya Wimbo wa Nandy “KIVURUGE”

Msanii wa Bongo Fleva Kutoka THT, Nandy  leo ameachia video ya wimbo wake wa Kivuruge na uliosimamiwa na Director Msafiri wa kwetu Studio. Dondosha coment yako chini ya Video hii

Read More »

Vanesa Mdee Kuachia Albam Yake ya Kwanza Chini ya Lebo ya Universal Music Group

Vanessa Mdee anatarajia kuachia albamu yake mpya mwakani chini ya Universal Music Group ambayo kwa sasa ndio wasimamizi wa kazi zake za muziki. Vee Money amesema baada ya kusaini mkataba huo sasa yuko tayari kuachia albam katikati mwakani na kwamba kampuni hiyo itakuwa ikisimamia kazi zake katika bara la Ulaya na Afrika. Muimbaji huyo amesema albamu hiyo itatoka mwezi wa ...

Read More »

Mwaka 2018 Utakuwa wa Maajabu Tasnia ya Filamu Nchini.

Msanii wa filamu nchini Jacob Stephan Maarufu JB ametabiri kuwa tasnia ya Bongo Movie itafanya vizuri mwaka 2018 kutokana na maandalizi mazuri yaliyofanywa mwaka 2017. Muigizaji huyo mwenye vituko vingi, amedai wasanii wengi wamefanya maandalizi makubwa katika kufungua kampuni za kusambaza filamu pamoja na kuzipeleka filamu kwenye majumba ya sinema. “Mwaka 2018 itakuwa nzuri zaidi kwa Bongo Movie kwani ukiangalia ...

Read More »

Mzanzibar Ashinda Tuzo ya Turner Prize

Profesa Lubaina Himid ni mzaliwa wa Zanzibar ambaye ni mtanzania ametangazwa kuwa mshindi wa ‘Turner Prize 2017’katika tuzo kubwa za Sanaa nchini Uingereza. Majaji wamempa Tuzo kwa maonesho matatu yaliyofanyika Oxford, Bristol na Nottingham ambapo waliisifu kazi yake ambayo inaangazia Afrika duniani kote pamoja na ubunifu wa mtu mweusi jambo ambalo wameliita namna nzuri ya ubunifu. Profesa Himid ambaye ni ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons