Category: Kimataifa
Urusi yaimiminia tena Ukraine ‘mvua ya droni’
Jeshi nchini Ukraine liliwasha ving’ora vya tahadhari kwenye maeneo mengi ya nchi hiyo kufuatia mashambulizi mengine makubwa ya droni kutoka Urusi usiku wa kuamkia Jumatatu (Julai 28). Kwa mujibu wa jeshi, wakaazi wa mji mkuu, Kiev, na maeneo mengine walitakiwa…
Papa Leo aonya kuhusu ‘matumizi ya nguvu kiholela’ huko Gaza
Papa Leo alionya dhidi ya “matumizi ya nguvu kiholela” na “uhamisho wa kulazimishwa wa watu” wa Gaza katika mazungumzo ya simu na Rais wa Palestina Mahmoud Abbas siku ya Jumatatu, kulingana na taarifa kutoka Vatican. Papa pia alisisitiza haja ya…
Waziri wa Cuba ajiuzulu baada ya kusema nchi haina ombaomba
Waziri wa Kazi wa Cuba Marta Elena Feitó Cabrera amelazimika kujiuzulu baada ya kutoa maoni ya kukanusha kuwepo kwa ombaomba katika kisiwa hicho kinachoongozwa na Wakomunisti. Waziri alikuwa amesema hakuna kitu kama “ombaomba” nchini Cuba na watu wanaopitia takataka walikuwa,…
China yaiunga mkono Iran dhidi ya uonevu
China itaendelea kuiunga mkono Iran katika kulinda mamlaka yake ya kitaifa na heshima, pamoja na kupinga siasa za ukuu na uonevu. Haya yamesemwa leo na waziri wa mambo ya nje wa China kwa mwenzake wa Iran. Katika taarifa iliyotolewa na…
EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi
UMOJA wa Ulaya (EU) unatarajiwa kuidhinisha awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi ikiwa ni hatua nyingine ya kushinikiza Kremlin kusitisha uvamizi wake dhidi ya Ukraine. Hatua hiyo imecheleweshwa kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na upinzani kutoka Slovakia, ambayo…
Umri wa kunywa pombe kuongezwa Kenya hadi miaka 21
Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya. Sera ya taifa hilo ya kudhibiti matumizi haramu ya…