ACT Wazalendo walia ukatili kwa mtoto wa kike
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito kwa Serikali na vyombo vyake vya dola kupunguza muda wa uendeshaji wa kesi za ukatili dhidi ya watoto na wanawake. Chama hicho kimependekeza muda wa uendeshwaji wa mashauri hayo usizidi miezi miwili hadi kumalizika kwake ili haki ionekane kutendeka. Ushauri huo umetolewa…